Kinara wa Azimio Raila Odinga amkosoa Rais Ruto

  • | K24 Video
    80 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga ameendelea kutoa wito kwa wabunge kuukataa mswada wa fedha wa 2023 unaopendekeza ushuru zaidi kutozwa wakenya. Raila pia amekashifu hatua ya kujaribu kuwashinikiza wakenya kulipia ujenzi wa nyumba nafuu pasi na kuwashauri. Kiongozi huyo wa upinzani amesema hayo alipohudhuria mazishi ya Mary Nyambura katika kaunti ya Muranga