Kinara wa Azimio Raila Odinga anashutumu washauri wa Rais Ruto kwa kumpotosha

  • | K24 Video
    146 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga anashutumu washauri wa rais kwa kumpotosha kuhusu jinsi taifa linapaswa kuendeshwa. Raila aliyekuwa mgeni mkuu katika maadhimisho ya miaka 15 ya chama cha PNU amesema mawaidha mabaya anayopewa rais yamefanya uchumi wa nchi kuzorota. Odinga anadokeza kuwa walihakikisha wametimiza ahadi zao katika utawala wake na rais Kibaki ikiwemo elimu ya bure . Kinara huyo sasa anataka mjadala mpya kuanza kuhusu makato ya nyumba ili wakenya wachangie kwa hiari.