Kinara wa Azimio Raila Odinga asisitiza kuwa maandamano yataendelea

  • | K24 Video
    1,014 views

    Watu kadhaa wakiwemo wanahabari wamejeruhiwa katika maandamano ya leo jijini Nairobi kufuatia makabiliano makali baina ya maafisa wa usalama na waandamanaji. Ni hali iliyositisha shughuli kwa muda kwenye barabara ya Outering kulikoshuhudiwa makabiliano makali. Juhudi za msafara wa kinara wa Azimio Raila Odinga kufika katika uwanja wa Jacaranda zilizimwa na kulazimika kukatiza maandamano hayo.