26 Feb 2026 1:59 pm | Citizen TV 478 views Duration: 1:26 Kinara wa chama cha United Green Movement (UGM) David Kenani Maraga, anasema kuwa atakomesha ufisadi kwa kuwaadhibu vilivyo wanaoshiriki ufisadi iwapo wakenya watampa nafasi ya kuwa rais kwenye uchaguzi wa mwaka ujao.