Kinara wa DCP asema anafaa kuwania urais mwaka 2027

  • | Citizen TV
    7,098 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema yeye ndiye anafaa kupeperusha bendera ya urais ya upinzani katika uchaguzi wa mwaka 2027.