10 Oct 2025 1:56 pm | Citizen TV 220 views Duration: 1:18 Kenya inapoadhimisha siku ya mazingira leo hii, kinara wa chama cha Green Thinking Action (GTAP) daktari isaac kalua amehimiza upanzi wa miti unaoambatana na miaka ya mtu ili kuafikia malengo ya miti kama alivyoahidi rais.