Kinara wa muungano wa Azimio Raila asisitiza maandamano yao ya hapo kesho yataendelea

  • | K24 Video
    8,596 views

    Kinara wa muungano wa Azmio Raila Odinga amesisitiza maandanao yao ya hapo kesho yataendelea kama yalivyoratibiwa. Raila amesema maandamano hayo yataanza saa kumi na mbili asubuhi na yatafanyika kwa mujibu wa sheria. Muungano huo umemhakikishia rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua kuwa hatakuwa uharibifu wowote wa mali wala vurugu.