Kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga aendeleza kampeni katika kaunti ya Kiambu

  • | K24 Video
    440 views

    Kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga pamoja na mgombea mwenza wake Martha Karua, wanaomba kanisa kuwa mstari wa mbele kuwaleta wakenya pamoja, pasi na kuangazia misingi ya kikabila, kinara huyo wa ODM aliyezungumza katika kaunti ya Kiambu amewasuta wote ambao hawana imani na mgombea mwenza wake Marha Karua, akishikilia kuwa ana imani naye.