Kinara wa ODM Raila Odinga aahidi kuboresha hali ya michezo nchini

  • | Citizen TV
    Kinara wa ODM Raila Odinga aahidi kuboresha hali ya michezo nchini Raila alihudhuria mechi ya kandanda katika eneobunge la Starehe Raila: Michezo huwaajiri vijana wengi nchini na kukuza talanta zao