Kinara wa ODM Raila Odinga alipeleka mikutano yake ya kutafuta ushauri katika kaunti ya Wajir

  • | Citizen TV
    2,991 views

    Kinara wa ODM Raila Odinga alipeleka mikutano yake ya kutafuta ushauri katika kaunti ya Wajir ambapo alikutana na wananchi pamoja na baadhi ya viongozi wa eneo hilo. Odinga ambaye alianza harakati hizi baada ya safari yake ya AUC kutibuka, amesema atazingatia waliyosema wakazi wa Wajir na atatoa uamuzi wake kuhusu iwapo ataendelea kuungana na serikali..