- 12,505 viewsDuration: 2:08Kinara wa Chama cha Peoples Liberation Party Martha Karua amesema kwamba Wakenya watajitokeza kisheria kupinga miswada iliyopitishwa kuwa sheria na rais William Ruto ukiwemo ule wa udhibiti w matumizi ya mtandao. Akizungumza kwenye kongamano la kuangazia uongozi wa nchi na mashirika ya kutetea haki za binadamu eneo la Limuru, Kaunti ya Kiambu, Karua vile vile amesema kwamba waandamanaji nchini Tanzania wameanza safari ya kutetea nchi yao dhidi ya unyanyasaji na Udikteta.