Kinara wa walio wengi Bungeni Kimani Ichungwa amemtetea Rais Ruto kuhusu mkwaruzano na mahakama

  • | KBC Video
    20 views

    Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichungwa amemtetea Rais William Ruto kuhusu mkwaruzano na idara ya mahakama kuhusiana na matozo ya nyumba na kusitishwa kwa uzinduzi wa mfumo mpya wa utoaji huduma za afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News