Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ataka vyama tanzu vya Azimio vivunjwe

  • | K24 Video
    31 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka anapendekeza kuvunjwa kwa vyama tanzu vya muungano wa Azimio na kuunda chama kiomja kitakachomenyana na rais William Ruto ifikapo mwaka wa 2027. Kalonzo amesema hayo akiwa katika kaunti ya kiambu ambapo aliishutumu serikali ya kenya kwanza kwa kuwaongezea wakenya mzigo wa ushuru na kuhujumu jamii ya Agikuyu.