Skip to main content
Skip to main content

Kindiki akemea upinzani, awaonya dhidi ya kupaka tope serikali

  • | Citizen TV
    2,642 views
    Duration: 2:40
    Siku nne kabla ya Muungano wa upinzani kuzuru maeneo ya Meru na Tharaka Nithi kwa ziara ya siku tatu, Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amewaonya dhidi ya matumizi ya lugha inayoipaka serikali tope wanapozuru eneo hilo. Kindiki aliyezungumza alipozuru eneo la Meru amemsuta mtangulizi wake Rigathi Gachagua kwa kampeni zake za kupaka tope serikali ya Rais William Ruto. Kamau Mwangi anaarifu.