Skip to main content
Skip to main content

Kindiki ameongoza michango kaskazini mwa Nchi

  • | Citizen TV
    4,557 views
    Duration: 2:39
    Naibu Rais Kithure Kindiki leo ameongoza kikosi cha Kenya Kwanza katika msururu wa mipango ya uwezeshaji katika kaunti za Mandera na Wajir, Kaskazini Mashariki mwa Kenya. Viongozi hao wamelaani vikali matamshi ya viongozi wa upinzani yanayodai kuwa serikali ina uhusiano wowote na kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab