Kindiki aongoza mikakati ya amani Baringo, aahidi ujenzi wa barabara kuu Rironi–Mau Summit

  • | Citizen TV
    244 views

    NAIBU RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI AMEONGOZA MIPANGO YA KUWEZESHA NA AMANI KATIKA MAENEO YA BARINGO HUKU AKIENDELEA KUUZA SERA ZA KENYA KWANZA. MBALI NA KUANGAZIA KWA MAPANA SWALA LA USALAMA KATIKA ENEO LA NORTH RIFT, NAIBU RAIS PIA AMESEMA KUWA UJENZI WA BARABARA KUU YA Rironi-NAKURU- Mau Summit ITAANZA KUJENGWA MWISHONI MWA MWEZI HUU WA NANE. WANASIASA HAWA WA KENYA KWANZA WAMEKUWA KAUNTI ZA BARINGO NA NAKURU HII LEO