Kindiki asema kuwa maslahi ya wasanii sasa mikononi mwa serikali

  • | TV 47
    6 views

    Kindiki: Maslahi ya wasanii sasa mikononi mwa serikali.

    Wasanii 2000 wakutana na Naibu Rais Meru, Tharaka Nithi, Embu.

    Serikali yavunja magenge ya wakiritimba katika sekta ya ubunifu.

    Kindiki: 70% ya mapato ya mashirika ya usimamizi yaende kwa wasanii.

    Sheria mpya za sekta ya utamaduni kuwasilishwa bungeni.

    Wasanii washauriwa kuunda vikundi kusajiliwa kwa ufadhili wa vifaa.

    Majukwaa ya sanaa yahimizwa kukuza maadili na kupinga uovu wa kijamii.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __