Skip to main content
Skip to main content

Kindiki asema Raila yu salama, serikali yawakosoa wa upinzani kwa kejeli kuhusu afya yake

  • | Citizen TV
    1,495 views
    Duration: 2:43
    Viongozi wa serikali sasa wamewakosoa wenzao wa upinzani na kuwaonya dhidi ya kejeli kuhusu afya ya Raila Odinga. Akizungumza huko Siaya, naibu rais Kithure Kindiki alisema kuwa raila yu buheri wa afya na kuwa atarejea kuendelea na mchakato wa kuunganisha taifa. Haya yanajiri huku viongozi wengine wakisuta upinzani kwa kukosa sera na kuwataka wakenya kuacha siasa mbaya