Kindiki asema vijana 200,000 wamepata kazi ughaibuni

  • | Citizen TV
    874 views

    Naibu wa Rais Kithure Kindiki ametetea juhudi za serikali za kubuni nafasi za ajira kwa vijana humu nchini na ughaibuni