Skip to main content
Skip to main content

Kindiki atoa zawadi za Krismasi kwa wakazi Tharaka Nithi, awahimizwa madereva kuwa waangalifu

  • | KBC Video
    897 views
    Duration: 2:29
    Naibu Rais Kithure Kindiki amewaonya madereva, wakiwemo wale wa magari ya umma kuwa makini barabarani wakati wa msimu huu wa sikukuu ili kuepusha ajali. Halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani imeripoti vifo vya watu 25 kutokana na ajali za barabarani jana peke yake. Naibu Rais alizungumza hayo alipokuwa akigawa zawadi za Krismasi kwa maelfu ya wakazi katika Kaunti ya Tharaka Nithi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive