Kindiki awapuuza wakosoaji wa miradi inayoendelea ya serikali

  • | KBC Video
    60 views

    Naibu rais Kithure Kindiki, amewapuuzilia mbali wale wanaokosoa mipango inayoendelea ya serikali ya kuwawezesha Wa-Kenya akisema matamshi yao hayana msingi wowote . Akiongea katika eneo la Masinga, kaunti ya Machakos wakati wa kuendeleza mpango uwezeshaji , Kindiki aliwakosoa wale wanaopinga mipango hiyo akisema serikali haitalegeza kamba kwenye juhudi zake za kuwawezesha Wa-Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive