Skip to main content
Skip to main content

Kindiki awataka Wakenya kuwapuuza wakosoaji wa SHA

  • | KBC Video
    93 views
    Duration: 1:50
    Naibu Rais Kithure Kindiki amewahakikisha Wakenya kuwa serikali imejitolea kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na nafuu za afya kupitia halmashauri ya Afya ya Jamii. Kindiki amewahimiza Wakenya kuwapuuza watu wanaojaribu wanaokejeli na kuhujumu utekelezaji wa mpango wa afya kwa wote, akisema kuwa Wakenya milioni 29 tayari wamesajiliwa kwenye halmashauri hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive