Skip to main content
Skip to main content

Kindiki: La muhimu sasa ni maendeleo, sitashiriki siasa za mgawanyiko

  • | Citizen TV
    936 views
    Duration: 1:19
    Naibu rais Kithure Kindiki amesisitiza kuwa hatawajibu wapinzani wake, akisema hana muda na siasa za kugawanya wakenya. Viongozi walioandamana naye huko embu wakisistiza kuwa hawatakubali nafasi ya naibu rais kunyakuliwa kutoka kwake katika uchaguzi mkuu ujao.