Kindiki, Murkomen wasema Gachagua atashikwa kutokana na matamshi ya uchochezi

  • | Citizen TV
    5,949 views

    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki Amemuonya Kinara Wa Chama Cha Dcp Rigathi Gachagua Kuhusiana Na Matamshi Yake Ya Hivi Punde Kuhusu Uwezekano Wa Ghasia Kwenye Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2027. Kindiki Amesema Kuwa Matamshi Hayo Huenda Yakasababisha Hofu Miongoni Mwa Raia. Na Kama Anavyoarifu Stephen Letoo, Onyo La Kindiki Linajiri Huku Waziri Wa Usalkama Kipchumba Murkomen Akimueleza Gachagua Kuwa Atakabiliwa Na Sheria Kutokana Na Matamshi Hayo.