Kindiki: Serikali haitaruhusu kuvurugwa kwa usalama

  • | KBC Video
    32 views

    Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki amewakosoa baadhi ya viongozi, wanasiasa na mabalozi, ambao walionekana kuunga mkono machafuko yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya wiki jana. Kindiki ameonya kwamba usalama wa taifa sharti uzingatiwe, na kwamba serikali haitakubali kutishiwa kwa ustawi na usalama wa taifa kwa ajili ya umaarufu wa kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive