Skip to main content
Skip to main content

Kindiki: Serikali kubuni kanuni za kudhibiti utengenezaji pombe bandia

  • | KBC Video
    1,781 views
    Duration: 1:51
    Naibu rais Kithure Kindiki amefichua kwamba kikosi cha kijasusi cha mashirika mbali mbali kimefanikisha misako-9 dhidi ya kemikali haramu ya Ethanol na misako mingine 116 kwenye vituo vya pombe haramu iliyotengenezwa bila kuzingatia viwango vya afya ya umma na ubora uliowekwa, katika siku 10 zilizopita kote nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive