Kinyanganyiro cha ugavana Taita Taveta

  • | K24 Video
    57 views

    Wagombea kumi na wanne waliojitokeza kuwania kiti cha ugavana katika kaunti ya Taita Taveta wanaendelea kujiandaa kufanya kampeni zao. Baadhi yao wametangaza rasmi wagombea wenza watakaosaidia kutafuta ungwaji mkono na wenyeji wa Taita Taveta.