Kinyang'anyiro cha useneta Bungoma

  • | Citizen TV
    804 views

    Kampeni za kiti cha useneta katika kaunti ya Bungoma zimeendelea kupamba moto huku spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula na mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi wakiongoza kampeni za kumpigia debe mgombea kiti cha useneta kwa tiketi ya chama cha Ford Kenya. Na kama anavyoarifu Maryanne Nyambura, uchaguzi mdogo wa useneta bungoma umepangiwa kufanyika alhamisi ijayo