Kiongozi wa Kanisa Aeleza Sababu za Kukosekana Huduma

  • | VOA Swahili
    1,035 views
    Kiongozi wa Kanisa aeleza kuwa kama kungekuwa na uadilifu basi Kenya ingekuwa imepiga hatua kimaendeleo na kiuchumi na kusingekuwepo hali hii ambayo inawakabili wananchi ya ukosefu wa chakula, kwenda shule, na wanakosa madawa hospitalini. Endelea kusikiliza mahojiano yaliyofanywa na mwandishi wetu wa Nairobi Zeinab Saidi ... #nairobi #mchuuzi #kenya #sikukuu #pasaka #biashara #bei #voa #voaswahili #maendeleo #uchumi #huduma #madawa #elimu