Kiongozi wa kanisa la KACC, Askofu GG Gitahi, awashauri Wakenya kwelekea uchaguzi mkuu

  • | VOA Swahili
    57 views
    Wakenya wanaoshi Marekani wanaendelea kutoa maoni na ujumbe wao kwelekea kwa uchaguzi wa Kenya utakaofanyika Jumanne wiki ijayo. Leo Askofu GG Gitahi wa Kanisa la KACC mjini Marietta, Georgia, ana ujumbe kuhusu ni kwa nini uchaguzi huo ni muhimu kwa wanadiaspora kama tu ilivyo kwa Wakenya walio nchini mwao. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.