Kioni na Karua wadhihirisha kuwa na hofu ya mazungumzo

  • | K24 Video
    150 views

    Kinara wa NARC Kenya Martha Karua ameshikilia kuwa hatazimwa katika juhudi zake za kutoa kauli yake kuhusiana na mazungumzo yanayoendelea Bomas. Karua amemtea Kioni kutokana na matamshi yake huku akishikilia kuwa mazungumzo baina ya serikali na upinzani hayatazaa matunda yoyotemajibizano yameonekana kushamiri haswa katika mitandao ya kijamii baina ya viongozi wa Azimio kuhusu mustakabali wa mazungumzo yanayoendelea bomas