Kipchumba ateuliwa kuwa waziri wa vijana na michezo

  • | NTV Video
    890 views

    Kati ya mawaziri walioteuliwa siku ya leo na Rais William Ruto, ni waziri wa michezo Kipchumba Murkomen. Itafamika kwamba, Kipchumba Murkomen alikuwa katika baraza la mawaziri la kwanza la Rais William Ruto, kikundi ambacho alikisukuma nyumbani wiki mbili zilizopita.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya