Kipindi cha Rogaroga charindima mubashara kutoka Bungoma

  • | Citizen TV
    200 views

    Kipindi cha Rogaroga kinachoendeshwa na Fred Obachi Machokaa kinasherehekea utamaduni wa jamii ya waluhya kwa kukuletea burudani moja kwa moja kutoka Bungoma.