Kisanduku cheusi kilikuwemo kwenye mpangilio wa onyesho la Dior la SS24 mjini Paris

  • | VOA Swahili
    289 views
    Na katika fashion kisanduku cheusi katika bustani za jijini Paris kilikuwemo kwenye mpangilio wa onyesho la Dior la SS24 wiki hii. Ungana na mwandishi wetu Aida Issa akikuletea yale yaliojiri wakati wa maonyesho hayo nchini Ufaransa, na waigizaji maarufu mbalimbali waliohudhuria maonyesho hayo. Pia hali ya joto kali ilikuwa ni sehemu ya tukio hilo katika ukumbi huo wa maonyesho. Endelea kusikiliza... #fashion #blackbox #paris #ufaransa #fashionshow #nyota #wasanii #waigizaji #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.