Kisii: Mwanamume ateketezwa baada ya kumuua mkewe, kumchinja na kuwaandalia wanawe kama chakula

  • | NTV Video
    20,847 views

    Mwanamume mmoja kaunti ya kisii amechomwa moto hadi kufa baada ya kumuua mkewe na kwa siku kadhaa kumkatakata na kuwaandalia wanawe kama chakula. Hili si jambo la kiunyama pekee alilofanya kwani alikuwa tayari amempachika ujauzito mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 14.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya