Kisima kipya cha maji chazinduliwa eneo la Griftu Wajir

  • | Citizen TV
    134 views

    Katika Kaunti ya Wajir, wenyeji wa eneo la Griftu sasa wana sababu ya kutabasamu baada ya kuzinduliwa kwa kisima kipya cha maji.