Kisima kisichokauka Tanzania

  • | BBC Swahili
    1,492 views
    Kisima cha Karne ya 13 kilichopo wilaya ya bagamoyo nchini Tanzania, ni moja kati ya vivutio vikubwa kwenye makumbusho ya kale ya Kaole. - Maji ya kisima hicho ni baridi licha kuwa karibu na ufukwe wa bahari ya hindi lakini maji yake hayaongezeki wala kupungua kwa kipindi choto cha mwaka licha ya vipindi mbalimbali vya majira ya mwaka. - Eneo hilo la Makumbusho ya Kaole pamoja na kisima hicho pia kuna Mbuyu wenye zaidi ya miaka 600 na kaburi la wapendanao. #bbcswahili #bagamoyo #historia #utalii #makumbusho