'Kisiwa cha Nyani' kinachosaidia wanasayansi kuelewa tabia ya binadamu

  • | BBC Swahili
    2,185 views
    Cayo Santiago, pia inajulikana kama 'Kisiwa cha Nyani,' ni moja ya eneo kongwe zaidi la nyani duniani. Kisiwa hicho, kilicho karibu na pwani ya Puerto Rico, ni makazi ya nyani 1,800 aina ya macaque ambao asili yao ni kutoka India, nyani hawa wanafanyiwa utafiti kwa zaidi ya miaka 80. Baadhi ya vitendo katika kituo hiko cha utafiti vimekosolewa na shirika la ulinzi wa wanyama. Hata hivyo, kituo hicho cha utafiti kinasema kwamba wanashughulikia nyani kwa mujibu wa kanuni za Marekani. #bbcswahili #nyani #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw