Skip to main content
Skip to main content

Kisumu Allstarlets watoka sare ya 2–2 na Soccer Assassins kwenye Ligi Kuu ya Wanawake

  • | Citizen TV
    194 views
    Duration: 47s
    Mashabiki wa soka ya wanawake kaunti ya Kisumu walishuhudia mechi ya ushindani wa hali ya juu wakati Kisumu Allstarlets walipotoka sare ya mabao mawili na Soccer Assassins katika ligi kuu ya wanawake