15 Aug 2025 8:01 am | Citizen TV 635 views Duration: 1:24 Viongozi wakizidi kutofautiana kuhusu bima ya sha, Baadhi ya wabunge kutoka eneo la Gusii wanaelezea wasiwasi wao kuhusu bima hiyo ambayo wanasema haiwasaidii wananchi kama inavyohitajika