Kitengo cha ICU cha kwanza kujengwa kimezinduliwa leo, katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki

  • | K24 Video
    72 views

    Kitengo cha ICU cha kwanza kabisa kuwahi kujengwa katika hospitali ya kaunti ya umma jijini Nairobi kimezinduliwa leo, katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki. Kitengo hicho kitasitisha wagonjwa kupelekwa katika hospitali zingine wanapohitaji huduma za dharura za ICU.