Kaunti ya Mandera, imepiga hatua kubwa baada ya kuzindua kituo cha kusafisha damu katika hospitali ya Level 4 ya Elwak, na kuifanya hospitali hiyo kuwa ya pili inayotoa huduma za matibabu ya figo katika eneo hilo. Akizungumza wakati wa uzinduzi, gavana wa kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amaesema kituo hicho kitawahudumia wakazi wa Elwak na pia wale wa kaunti jirani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive