Kithure Kindiki akabiliwa na maswali ya mauaji ya Kware

  • | TV 47
    84 views

    Profesa Kithure Kindiki alikuwa wa kwanza kupigwa msasa,wanakamati wakimkaribisha na maswali kabumbu kuhusu jinsi atakabiliana na waandamanaji endapo atarejeshewa nafasi yake ya kuwa waziri.wabunge wakimuuliza kwanini hakujiuzulu licha ya mshikamano mkali kushuhudiwa kati ya vyombo vya usalama na wakenya.

    #UpeoWaTV47

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __