- 409 views
Naibu rais Profesa Kithure Kindiki ameahidi kuwa mwaminifu kwa rais William Ruto na taifa la Kenya kwa jumla. Kindiki aliyekula kiapo cha kuchukua nafasi ya naibu rais leo asubuhi katika jumba la mikutano ya kimataifa la KICC jijini Nairobi alionesha shukrani kwa ujuzi aliopata katika kipindi chake cha utumishi wa umma, akisema wadhifa wake mpya kama naibu rais ndiyo hadhi ya juu zaidi maishani mwake. Kindiki, akiwa naibu rais wa tatu hapa nchini chini ya katiba ya sasa, aliapishwa saa chache baada ya mahakama kuu kuondoa maagizo ya kusimamisha kuapishwa kwake baada ya mtangulizi wake Rigathi Gachagua kuondolewa afisini na bunge la kitaifa.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News
Kithure Kindiki akula kiapo cha nafasi ya naibu rais
- - 🔴 TV47 Live ››
- - 🔴 TV47 Live ››
- - Duniani Leo ››
- 25 Jul 2025 - Donald Trump is due to visit the US Federal Reserve Thursday as the president escalates his pressure on its chairman Jerome Powell over the central bank's management of the economy.
- 25 Jul 2025 - Hugs, tears, and cheers greeted makeup artist Andry Hernandez on a joyous return home to the Venezuelan Andes on Wednesday -- ending a months-long ordeal involving US deportation, a notorious El Salvador jail, and alleged sexual abuse.
- 25 Jul 2025 - Munyakho's homecoming will bring to an end a long and painful chapter for his family.
- 25 Jul 2025 - IPOA: Police killed 65 civilians in latest protests, injured 342
- 25 Jul 2025 - CBK: Why we can't compel counties to close unauthorised bank accounts
- 25 Jul 2025 - Why Nyoro is accusing Ruto of gambling country's future
- 25 Jul 2025 - Kenya wins Sh300b case against railway concessionaire in London
- 25 Jul 2025 - Bonnie Mwangi's probe centred on DCI theory bows can shoot bullets
- 25 Jul 2025 - Raila's promise and why he is unlikely to see or speak no evil until 2027
- 25 Jul 2025 - Court declines to stop Sh1.2b church construction at State House