Kitita cha Shabiki Supa Jackpot chaongezeka hadi ksh. 6.5

  • | Citizen TV
    155 views

    Uhondo kwenye Shabiki Supa Jackpot unazidi kunoga huku kitita cha zawadi kikiongezeka hadi shilingi milionii 6.5. Juma hili washindi watano wamezawadiwa bonasi ya supa jackpot ya ksh zaidi ya shilingi laki moja kila mmoja baada ya kubashiri mechi 12 kati ya 15 kwa usahihi