Kitita cha Shabiki Supa Jackpot kimeendelea kuongezeka

  • | Citizen TV
    611 views

    Kitita cha Shabiki Supa Jackpot kwenye Shabiki.Com kimeongezeka hadi shilingi milioni 5.3. Kufikia sasa hakuna aliyeweza kubashiri mechi zote 15 kwa usahihi. Washindi watano wa bonasi ya supajackpot waliobashiri mechi 12 kati ya 15 wametuzwa jumla ya shilingi 695,000 hii leo.