- 272 viewsJeshi la Israeli lilisema vikosi vyake vimepiga zaidi ya “malengo 100” kote huko Gaza katika kipindi cha saa 24, ikiwemo sehemu za kijeshi, sehemu zinakorushwa roketi na ghala za silaha. Ndege ya kivita ilipiga eneo katikati ya Bureij usiku kucha, liliuwa “magaidi wenye silaha w katika maficho yao” baada ya kile jeshi ilichokielezea katika taarifa yake kuwa ni jaribio la kushambulia kifaru cha Israeli. “Idadi kadhaa” ya wanamgambo wa Palestina waliuawa katika mapambano huko Khan Yunis, mji mkubwa ulioko kusini mwa Gaza ambao umekuwa ndiyo sehemu muhimu ya mapigano, jeshi lilisema. Kulingana na pendekezo lililotolewa na Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant, vita vitaendelea hadi pale Israel itapovunja “uwezo wa kijeshi na utawala” wa Hamas na uwezo wao wa kutawala” na kuwakomboa waliotekwa Oktoba 7. Israel ilianzisha kampeni dhidi ya kundi Hamas kufuatia mashambulizi ya Oktoba 7 ambayo yaliuwa watu 1,140 nchini Israel wengi wao wakiwa ni raia, kulingana na idadi ya AFP iliyotumia takwimu rasmi za Israeli. Wanamgambo hao pia waliwateka watu 250, 132 wakiwa bado wanashikiliwa, kulingana na Israel, wakiwemo watu 24 wanaoaminika kuwa waliuawa. Mashambulizi ya mabomu yasiyosita na uvamizi wa ardhini unaofanywa na Israeli umeuwa watu wasiopungua 22,438 wengi wao wanawake na watoto, kulingana na wizara ya afya ya Gaza. - AFP #Haifa #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #GadiEizenkot #wazirimkuu #jerusalem #alaqsa #msikiti #ibada #ijumaa #gaza #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili
'Kitu gani watu wasiokuwa na hatia wamefanya kustahili kuuwawa...?'
- 14 Aug 2025 - At least 22 migrants died after two boats overturned in the Mediterranean on Wednesday, with more still missing and some 60 survivors, humanitarian agencies said.
- 14 Aug 2025 - The summit between US President Donald Trump and his Russian counterpart Vladimir Putin will be held at Joint Base Elmendorf-Richardson in Alaska, a White House official said Wednesday.
- 14 Aug 2025 - Only Ukrainian President Volodymyr Zelensky can negotiate a land deal with Russia in an effort to end Moscow's war against his country, French President Emmanuel Macron said on Wednesday.
- 14 Aug 2025 - South Africa's unemployment rate rose for the second quarter in a row, official data showed on Tuesday, highlighting one of the biggest challenges faced by the country's year-old coalition government.
- 14 Aug 2025 - Workers at the Kenya Pipeline Company (KPC) are demanding job security assurances as the government moves to sell a majority stake in the State corporation.
- 14 Aug 2025 - "Parliament must be called out. Something is going on in our Legislature that we must address. Money is being demanded from the Executive, governors, and ministers—especially those who appear before parliamentary committees for accountability,” said…
- 14 Aug 2025 - The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) wants victims of protests and demonstrations to receive more than just monetary compensation.
- 14 Aug 2025 - Kenyan exports set for battle against Team Kenya stars once again
- 14 Aug 2025 - Lack of electricity delays handing-over of Gichugu housing project
- 14 Aug 2025 - Housing to remain key at World Urban Forum