Kitui inaongoza kwa kiwango cha juu cha mishahara

  • | Citizen TV
    1,895 views

    Mdhibiti mkuu wa Bajeti Margaret Nyakang'o ameshutumu Serikali za kaunti kwa kutumia fedha nyingi kulipa mishahara na marupurupu ya wafanyakazi huku miradi ya maendeleo ikipewa kisogo. Kwenye kongamano la kitaifa kuhusu mishahara ya wafanyikazi wa umma, kaunti ya kitui imetajwa kama ambayo inatumia kiwango cha juu zaidi kwenye mishahara na marupurupu.