Kituo cha Egesa chaandaa sherehe za kuadhimisha siku ya Ndizi duniani

  • | Citizen TV
    285 views

    Watangazaji wa Kituo cha redio cha Egesa FM kinachomilikiwa na Royal Media Services pamoja na wakazi wa Nyaribari Chache kaunti ya Kisii wanaendelea na hafla ya kuadhimisha siku ya Ndizi duniani kama njia moja ya kuhimiza matumizi ya tunda hilo na manufaa yake mwilini. Hafla hiyo pia inahusisha maankuli maalum ya Ndizi kutoka jamii ya Abagusii.