Kituo cha kibiashara cha Masalani chapandishwa hadhi kuwa mji Katika kaunti ya Garissa

  • | Citizen TV
    404 views

    Katika kaunti ya Garissa, kupandishwa hadhi kwa kituo cha kibiashara cha masalani kuwa mji wa Manispaa kumetoa matumaini kwa wakaazi kuwa kando na kuleta huduma karibu, pia kutaimarisha hali ya biashara na kufungua eneo hilo kuwa kivutio cha utalii.